Translate

NGUVU YA USHIRIKA

SEHEMU YA KWANZA
Bwana yesu asifiwe watakatifu
Jioni ya Leo nahitaji tujifunze juu ya:
      NGUVU YA USHIRIKA (power of fellowship)
Ukisoma mwanzo 11:1-6
Biblia inatufundisha juu ya ushirika. USHIRIKA maana yake n Mjumuiko wa watu waliokubaliana kufanya jambo moja. Katika mwanzo biblia inasema watu hawa walikua na lugha moja, usemi mmoja ambao uliwawezesha kufanya ujenzi uendelee. Lugha na usemi vnasimama kwa niaba ya makubaliano. USHIRIKA ukiwa mzuri ongezeko la nguvu linatokea hivyo ukiwa mbaya nguvu hupungua.
Sambamba na hilo  ushirika unalenga makubaliano. Katika somo hili unahitaji kujihoji maswali haya. 1.Je  nan no mshirika mwenza( unashirikiana na nan)
2.he Huyo unaeshirkiana nae mnalugha na usemi mmoja(common goal)
3.unanufaika vpi na ushirika ilionao?
Maswali haya yatakupa mwongozo ili kujua kama ushirika no mzuri au mbaya. Ushirika unaanzia katika nafsi, familia jamii na hata MTU na mtu hivyo ukiwa na ushirika mzuri  utakufanya hata baraka zako zfike kwa waka kumbuka
Bible inasema yesu alimpendeza Mungu na wanadamu
Inadhihirisha kua yesu alikua na ushirika mzuri yeye na wanadamu na Mungu pia.
Kwahiyo ushirika ulionao kati yako na watu unaweza kufanya wewe  na Mungu muwesawasawa au muwe mbali na Mungu.................
(Somo litaendelea)
Wako katika utumishi Rev: Emmanuel Masora

Comments