Leo September 7, 2017 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dak. John Pombe Magufuli amekabidhiwa ripoti za uchunguzi wa biashara ya madini ya Tanzanite na Almasi na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, katika hafla iliyofanyika Ikulu Dar es Salaam.

Comments
Post a Comment