VIDEO:Highlight ya mchezo wa robo fainal ya pili (20/4/2017) kati ya Man United na Anderlecht
Get link
Facebook
X
Pinterest
Email
Other Apps
Katika mchezo huo man united walifuzu atua ya nusu fainal kwa jumla ya magoli 3 kwa 2 dhidi ya wapinzani wao Anderlecht ya kutokea ubelgij. Timu nyingine zilizofuzi ni pamoja na Ajax,Lyon na Celta Vigo.
Ratiba ya nusu fainal itapangwa leo majira ya saa tisa alasir kwa muda wa afrika mashariki.
Comments
Post a Comment