Translate

Wendell Lira aamua kutundika njumu.

Mchezaji wa Brazil aliyepewa Tuzo mwaka 2015 kwa kufunga Goli bora kabisa ameamua kupumzika kucheza soka.

Wendell Lira mwenye miaka 27 ambaye ufundi wake wa kufunga Goli kwa namna ya sarakasi ulimfanya kung'ara zaidi akiwapita Lionell Messi na Carlos Tevez

Wendell amesema anataka sasa kujikita zaidi katika biashara ya Video Game yaani kucheza soka kwa teknolojia.

KAMA ULIWEZA KOSA KUANGALIA GOLI ALILOFUNGA SAMATTA KWENYE UEFA NDOGO WAWEZA LIONA HAPO CHINI >>>>>
 





                                               MSECHUJR BLOG home of quality

Comments