Translate

VAN DER WIEL kajiunga na Fenerbahce

 
Klabu ya Fenerbahce imetangaza rasmi kumsajili Beki wa kulia wa PSG na Taifa la uholanzi. Na pia Klabu hiyo ya Uturuki imemshukuru mchezaji wa zamani wa Liverpoor  Dirk Kuyt kwa kusaidia kukamilisha usajili huo

Comments