Translate

Goli la Samatta vs Buducnost Podgorica (UEFA Europa League)

Timu ya KRC Genk ya nchin ubelgiji usiku wa jana walianza kampeni yao ya kushiriki michuano ya Uropa ndogo  (UEFA Europa League) kwa ushindi wa 2 - 0 dhidi ya Buducnost. moja wapo ya magoli yaliyofungwa ni pamoja na goli na Mbwana Samatta, na hili ndilo goli alilofunga.

 


Comments